M Mopak JF-Expert Member Joined Sep 19, 2024 Posts 2,643 Reaction score 5,733 Feb 19, 2026 #101 Huu uzi mlikosa mawazo ya riku au vipi? Wazo la leo: Msitu ukiona shoka hufurahi kuwa mpini na kusema ni jamii yao bila kujua kitakachofata. Maanake n jihadhari na wanaokuzukunga wengne ni mipini watakuangusha mda wowote
Huu uzi mlikosa mawazo ya riku au vipi? Wazo la leo: Msitu ukiona shoka hufurahi kuwa mpini na kusema ni jamii yao bila kujua kitakachofata. Maanake n jihadhari na wanaokuzukunga wengne ni mipini watakuangusha mda wowote