Wazo la leo: Kijiweni kwetu

Wazo la leo: Kijiweni kwetu

Wazo la leo; Usilaumu wachezaji kama mpira ni rahisi ingia ucheze wewe
 
Wazo la Leo: Asante JPM kwa kutuwekea kifurushi cha halichachi kila siku tunaamka na mapya
 
Wazo la Leo : Hakulipi deni kwa kuwa unaona aibu kumdai
 
Wazo la Leo; wahenga mtuambie Neno kigogo limepotelea wapi siku hizi
 
Wazo la Leo: Mashujaa wetu hawajaisha mpaka tuanze kuwatukuza wa nje
 
Back
Top Bottom