1. UMEME HAUNA KIUNo LAKINI UNAKATIKA.
2. UJINGA NI KUMWANDIKIA M2 ''I LOVE U'' NA KUSUBIRIA JIBU,WAKATI SIYO SWALI.
3. BUSHA HUWEZI KULIVALIA MODO.
4. LINALOJAMBA NI TUMBO,MK*ND* KIPANZA SAUTI TU.
5. HATA UWE BIGWA W FASHENI VP, HUWEZI KUNYOA KIDUKU KWAPANI.
Io namba 4 ndugu kiboko
Kwa technolojia ya leo majiko ya gesi yanachoma nyama!!!Mshikaki hauchomwi kwa jiko la gesi.
Ukitaka kujua umuhimu wa C katika masomo pata D na ukitaka kujua umuhimu wa D pata F.
wanaugua wakituona tunapendana wanatamani tuuachane lakini imeshindikana kupendwa raha kuachwa karaha yauma doo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums