Wazo la leo wakuu!!!

Wazo la leo wakuu!!!

M*v* nouma Hayachomi lakini ukiyakanyaga lazima uchechemee.
 
Io namba 4 ndugu kiboko
1. UMEME HAUNA KIUNo LAKINI UNAKATIKA.
2. UJINGA NI KUMWANDIKIA M2 ''I LOVE U'' NA KUSUBIRIA JIBU,WAKATI SIYO SWALI.
3. BUSHA HUWEZI KULIVALIA MODO.
4. LINALOJAMBA NI TUMBO,MK*ND* KIPANZA SAUTI TU.
5. HATA UWE BIGWA W FASHENI VP, HUWEZI KUNYOA KIDUKU KWAPANI.
 
Mkono wa mwenzio huwezi kuukunia ----

Sent from Samsung tablet
 
Hata ichakae namna gani kamwe chupi haiwezi kuwa dekio

Sent from Samsung tablet
 
wanaugua wakituona tunapendana wanatamani tuuachane lakini imeshindikana kupendwa raha kuachwa karaha yauma doo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ukitaka kujua umuhimu wa C katika masomo pata D na ukitaka kujua umuhimu wa D pata F.

mkuu umenikumbusha kauli mbiu ya chuoni kwa wale wazee wa kujilipua inasema, " ni hatari kuingia na kibomu kwenye chumba cha mtiani ila ni hatari zaidi kutokuingia nacho."
 
wanaugua wakituona tunapendana wanatamani tuuachane lakini imeshindikana kupendwa raha kuachwa karaha yauma doo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

dah! Haya bana ka hilo ndo wazo la leo.

Sent from my nokia tochi 2580 mchina using JF.
 
Hata ukimwi nao ni umeme japo hauwashi tv.hahha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
1. Vyombo vya habari navyo ni vyombo lakini havioshwi.
2. Cheti cha kupewa bure bila kufanya mitihani ni cheti cha ndoa,mitihani inakuja baadae!
3. Rape is not a crime,it's just a suprise sex
4. Nguo chakavu ndio dekio jipya.
 
Chupi yako hata ichakae vp kamwe haiwezi kugeuzwa kuwa dekio.
 
Back
Top Bottom