Wazo la leo wakuu!!!

Wazo la leo wakuu!!!

Hata bahari iwe chafu vipi haiwezi kuoga japo ina maji
ya buuree.
 
wacheza filamu wataigiza kufa, ugonjwa, kupigwa, lakini aliyecheza filamu ya ngono kato** kweli siyo maigizo
 
kama wewe kauzu wa ukweli jamba mbele ya demu ukiwa unamtongoza*
 
1. Hata KONDOM nayo ni mpira lakini hauwezi kuonyeshwa kwenye supa spoti.
2. Zunguka dunia nzima huwezi kukuta CHUPI yenye kola.
 
ukitaka kuona masaa yanaenda lala gesti, na ukitaka kuona masaa hayaendi haraka kalale police!
 
1. Yesu akipanda gari, shetani hawez omba lift
2. Serikali itapandisha vyote lakin siyo mashetani.
 
Hata uwe mwanamitindo wa kimataifa huwezi design vazi la maiti.
Utashona mitindo yote ila sio na sanda.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
hata uwe na heshima vipi lakini hauwezi kumuamkia mkeo.
 
hata toillet peper nayo ni karatasi lakini haiandikiwi barua.
 
Kama Kuku Ni Jamii Ya Ndege.. Basi Samaki Ni Jamii Ya Melii
 
1. Umia kadri ya kuumia lakini KIDONDA cha mapenzi hakifungwi bandeji.
2. Barabara nazo zina MATUTA lakini huwezi kupanda viazi.
3. Hata panga liwe KALI kiasi gani lakini haliwezi kukata kiu.

Umetisha mkuu, lakini hatukuogopi...
 
hata mbagala pia ni kituo lakni hakiandkwi kwnye daftari!
 
Back
Top Bottom