Wakati nafundishwa udereva.mwalimu wangu miongoni mwa vitu alivyonifundisha aliniambia dereva anatakiwa awe mvumilivu.kwa mfano umempakiza abiria lakini yule abiria ghafla anaanza kusema maneno makali dhidi yako were dereva hauruhusiwi kuanza kujibizana nae unaweza kusababisha ajali.unatakiwa uwe mvumilivu.maana utakapo panic utashindwa kuliendesha gari vizuri.