Wazo la leo

Wazo la leo

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
42,209
Reaction score
51,004
Wakati nafundishwa udereva.mwalimu wangu miongoni mwa vitu alivyonifundisha aliniambia dereva anatakiwa awe mvumilivu.kwa mfano umempakiza abiria lakini yule abiria ghafla anaanza kusema maneno makali dhidi yako were dereva hauruhusiwi kuanza kujibizana nae unaweza kusababisha ajali.unatakiwa uwe mvumilivu.maana utakapo panic utashindwa kuliendesha gari vizuri.
 
Hilo sio wazo, ni twisheni ya mwalimu wako
 
sisi makonda ndio kazi yetu kubishana na abiria
 
Back
Top Bottom