Wazo la Leo!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
Kwa leo wazo letu litasomeka hivi "Kosea mambo yote lakini usikosee Kuoa".

Mbaki salama waheshimiwa
 
Fafanua kidogo tuweze kupinga wazo la leo (au kulisapoti)
 
It's more like wazo ambalo lilitakiwa liwe la jana.Watu washaoa ndio unawapa angalizo?

inaweza kwa kwa ajili ya kizazi kijacho madam
 
Kwa leo wazo letu litasomeka hivi "Kosea mambo yote lakini usikosee Kuoa".

Mbaki salama waheshimiwa

Ndoa ingelikuwa inajaribiwa mimi ningefanya majaribio ya wanawake wa kila aina na kila kabila kujua yupi ana kiwango cha ubora (TBS)
 
Ndoa ingelikuwa inajaribiwa mimi ningefanya majaribio ya wanawake wa kila aina na kila kabila kujua yupi ana kiwango cha ubora (TBS)
Hivyo vitu sio ready made, unatakiwa kuvifanyia kazi tu. Sio swala la kabila
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…