Wazo la nani, Taifa stars kuwa na kocha hana International or local games experience kabisa??

Wazo la nani, Taifa stars kuwa na kocha hana International or local games experience kabisa??

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
I will be short

1. Taifa stars inahujumiwa na watu wa TFF. Kuna watu waondoke stars tuwe modern?? What was that??

Kocha wa stars kama a dummy asiye na akili. What was that substitution?? AFCON he did the same.

2. Who hired a manager who has 0 achievements in the local league?

not a single local league team can hire him?

Who made these choices???

3. Why are the managers not resigning? After that failure.

Do we have different policies for foreign and local managers??

4. Will we qualify for AFCON next?

2027, we will be hosting AFCON and we might not qualify to play.

5. Karia and TFF board should be fired.

Tanzania is a joke of a country these few years. Uchawa unaiua Tanzania.
 
unajikuta mzungu mara mbongo kiswanglish kiiiingi...

Tofauti na soka ambako tunafanya vibaya, ni kitu gani hii nchi inafanya vizuri kimataifa?
 
Kweli umechukizwa kichwa "Kiswahili" habari yenyewe "tumefokewa kwa kiingereza"...🤣
 
😂 I could have written in Swahili, but I was lost for words.
Tuombe radhi mkuu umetufokea kwa lugha yakigeni wakati unazungumzia mambo ya kwetu inatakiwa tumalizane ki kwetukwetu kwa lugha yetu!.
 
tuombe radhi mkuu umetufokea kwa lugha yakigeni wakati unazungumzia mambo yakwetu inatakiwa tumalizane ki kwetukwetu kwa lugha yetu!.

ninge tukana aisee. karia na tff ni wa**nge sana. mpira wa sasa una pesa sana. una wachezaji wa nje wengi.
 
Mpira umevamiwa Kama siasa na haya ndio matokeo yake.
Nafasi ya kocha wa taifa Stars, kocha wa timu za vijana na wanawake pamoja na mkurugenzi wa UFUNDI zinatakiwa zitangazwe.
Badala yake Hawa watu wanateuliwa, tunapata watu wasio na uwezo kisa Wana magodfather
 
Hana sifa ndio maana anachagua baadhi ya wachezaji wasiokuwa na sifa kama yeye!! Utachaguaje kipa namba 1 asiyepata kabisa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha timu yake!! Ana 0% match fitness!!
that selection imagine, sisi hayupo serious kabisa.

karia yupo kipindi kizuri mpira una pesa yeye akili hana
 
Kocha yupo kisiasa kufirahisha Mama na Wazanzibar ndo maama nae kajaa kiburi

Hakuna Mchezaji wa kumweka msuva nje kwa kikosi hiki tulichonacho
 
Kuna wachezaji wazuri waliletwa kipindi kile cha Amouriche sijui kwanini hawapo tena mfano Charles Mbombwa, Danilo Miano, Maurice, Novartis, hata Msuva alikua bado ana nafasi mbele ya Kibu na Mzize
 
Kuna wachezaji wazuri waliletwa kipindi kile cha Amouriche sijui kwanini hawapo tena mfano Charles Mbombwa, Danilo Miano, Maurice, Novartis, hata Msuva alikua bado ana nafasi mbele ya Kibu na Mzize
kocha wa sasa elimu hana ya kutosha. experience hana,. MAKOMBE hana,

Ni failures tu benchi zima amna mtu ana kikombe cha men competition. wote failed managers,. awana hata experience ya makundi.
 
Back
Top Bottom