Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,176
- 1,474
Cheti cha kupewa bure bila mtihan ni cha ndoa mtihan hufata badae.
ahsante, usiku mwema
Usiku sio muda w kutoa mawazo na matafakuri. Hebu mie!
Usiku sio muda w kutoa mawazo na matafakuri. Hebu mie!
Fafanuka sasa, ni muda wa nini?
Acha kuumauma maneno!
Kufagia bila kuzoa hujafagia bado ujue!
huyu King'asti analake aisee..