Wazo lako la biashara weka upate mwenye uzoefu na hiyo biashara

Biashara ya kuuza asali kwa bei ya jumla hapa nazungumzia wale wenye mitaji mikubwa kuanzia 5M nakuendelea unapeleka nje ya nchi kushirikiana wenzako mnapeleka kenya,uganda had uarabuni ukiwa na mbavu zaidi au unaweza kuuaza rejareja mfano unachukua dumu lako la lita ishirini la asali moja au mawili au vyovyote kotokana na mtaji wako ukishichukua una package kwenye vikopo vipo maalumu unaanza kuuza kuanzia miatano,kuna elfu moja,,elfu tatu,elfu tano alafu unakuja lita moja elfu kumi na mbili, lita tano elfu sitini ila izo bei za nyuki wakubwa kwa nyuki wadogo wao bei yao ya kuchukulia mzigo shambani ipo juu na ata wewe mwenyew ukiuza bei unauza ivo ivo bei mkasi na sasa ivi sijajua wanachukulia shingapi maana ni mda ila apo utachagua uuze rejareja au jumla zote zinalipa.
 
changamoto ni namna ya kupata wateja
 
Back
Top Bottom