B blissful.smyl Member Joined Jul 8, 2014 Posts 11 Reaction score 3 Jul 21, 2014 #1 habarini wana ndugu... naomba msaada wenu..kwa pale nyegezi SAUT university ni biashara gani iko poa kuanzisha kwa eneo kama ile. japo kuna competitors wengi hasa kwa upande wa vyakula ntajikita vipi na changamoto hiyo..asanteni
habarini wana ndugu... naomba msaada wenu..kwa pale nyegezi SAUT university ni biashara gani iko poa kuanzisha kwa eneo kama ile. japo kuna competitors wengi hasa kwa upande wa vyakula ntajikita vipi na changamoto hiyo..asanteni
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,409 Reaction score 6,773 Jul 21, 2014 #2 fungua duka la vitabu.photocopy,ufundi simu/laptop pia uza used laptops na nguo za kina dada