blissful.smyl
Member
- Jul 8, 2014
- 11
- 3
habarini wana ndugu... naomba msaada wenu..kwa pale nyegezi SAUT university ni biashara gani iko poa kuanzisha kwa eneo kama ile. japo kuna competitors wengi hasa kwa upande wa vyakula ntajikita vipi na changamoto hiyo..asanteni