Wazo langu la leo: kama hutambui ulivyozaliwa ulitoka wapi, ukifa is the end of all stories.

Wazo langu la leo: kama hutambui ulivyozaliwa ulitoka wapi, ukifa is the end of all stories.

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Nimejaribu kuwaza kwa sauti tu kwamba kwa mtazamo wangu mtu akifa ndo ze end
 
Toa sababu za kutosha
Sababu hata wewe unazijua mkuu usivunge. Hivi mkuu una mtoto?
Kama una mtoto na kama unampenda kweli unaweza mficha urithi wake uliko
Ili iwe nini sasa?

Hivi mkuu kwani Mungu hakujua shetani atakuja kumdanganya Hawa? Maana bibilia kwa mfano inasema ndo mwanzo wa dhambi, nyoka kumdanga hawa na kumpa tunda , na kwanini sasa hakumwangamiza shetani na hawa wote aumbe mwingine wapya? Ona tunavyoteseka sasa,, ee hakujua?

Nasikitika kuudhuri hospital moja na wachungaji wangu wa kanisani na watoto wao na wake zao , tena watumishi wengine wanaumwa magonjwa ya hatarii kwani Mungu haonagi huruma hata kwa Walisha kondoo zake?

Makanisa yamekuwa mengi mno mno , misimiti nayo wana madhebu yao.
Kwanini Mungu asijitokeze wote atupe Njia ya kumuombea? Aje kwa wazi kabisa sii kwenye ndoto aje kabisakabisa kila mtu ajue bwana ee Njia ya mbinguni ni hii kuwepo na kitabu kimoko sasa mara kurani mara bibilia aah nachanganyikiwa mkuu

Sababu ni nyingi ila tumerithi na kulishwa uoga na hofu kuu
 
Ukitoa sababu za kuridhisha ila ivo tu hata hatajakuelewa nini maana yako
India Mtu kauliwa kwa kumsafirisha ng'ombe this wk, wamemuua ksbb ni mungu wao
China Nako Ndo Hawajui izi habari Za Maisha ya Milele sisi veepe
 
Back
Top Bottom