Wazo langu naomba ushauri wadau kuhusu biashara

mr traders

Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
38
Reaction score
15
Hey great thinkers na idea angu ya kufungua stores ya kuuza mazao kama mahind, na maharage hapa dar ,ila bado sijajua location nzuri, na pia naomba mwenye kujua changa moto ya hi biashara na faida yake iko vp. asanten sana wadau naomben ushauri zaid
 
Wasiliana na bwana na nazi, yupo humu humu Kama mshauri Wa kibiashara
 
Hey great thinkers na idea angu ya kufungua stores ya kuuza mazao kama mahind, na maharage hapa dar ,ila bado sijajua location nzuri, na pia naomba mwenye kujua changa moto ya hi biashara na faida yake iko vp. asanten sana wadau naomben ushauri zaid

Safi!lakin umefanya utafiti kabla mtu mzima?
Mimi ushauri wangu,kwa nini usifanye biashara ambayo ni nzuri zaidi kwani haikuhitaji kuwa na ofisi,kulipia kodi ya mapato,kuajiri mtu au watu,mtaji ni mdogo ukilingani
 
sha na huo ulionao,wala huhitaji kulipia pango ya jengo au kuwa na jengo lako,huhitaji kuwa na uzoefu wa kibiashara na mingine mengi lakini unapata kipato kisicho na kikomo na cha kurithisha hata kama hautokuwepo hapa duniani.Unaonaje huu ushauri?kama unahitaji maelezo zaidi juu ya hii biashara,tunaweza kutafutana kwa njia ya simu au hata barua pepe.0762395110/0657117377 or zumolee@yahoo.com.
Karibu sana ndugu yangu!!
 
Hata mi ntakutafta
 
Sasa Si Useme Ni Biashara Gani Mkuu!!?
 
Tehe tehe. . .fursa! Network marketing, pyramid business, ponzi schemes, rupert mudorch, ths c.r.a.p is just not MY type.
 
GNLD mpango mzima
 
Tehe tehe. . .fursa! Network marketing, pyramid business, ponzi schemes, rupert mudorch, ths c.r.a.p is just not MY type.
multi level marketing!. wizi uleule tofauti majina tu! mtu mwenye akili ya kufikiri hawezi jiingiza kwenye mapyramid
 
Back
Top Bottom