mr traders
Member
- Oct 27, 2012
- 38
- 15
Hey great thinkers na idea angu ya kufungua stores ya kuuza mazao kama mahind, na maharage hapa dar ,ila bado sijajua location nzuri, na pia naomba mwenye kujua changa moto ya hi biashara na faida yake iko vp. asanten sana wadau naomben ushauri zaid