Wazo langu

mr.chengachenga

Senior Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
155
Reaction score
104
nimepata wazo kua sasa ni wakati wa kuwakumbuka wadogo zetu na watoto wetu wa sekondari hasa katika upande huu wa elimu.elimu yetu imekua mbovu na hasa wakati huu wa kampeni ya BRN.wazaz wamekua wanashindwa kuwa fundisha watoto wao masomo ya sasa hasa wanapoingia sec kwa kisingizio cha kutoyaelewa huku cc kaka na dada zao tukishindwa vilevile kwa kisingizio cha kukosa vifaa kama vitabu na vitu vingenevyo(nikiwamo mimi mwenyewe).

Sasa natoa wazo,ni hv. kwa nini tusianzishe wa kila somo na kidato chake ili kila mtu aweze kuweka huko kitu fulan na kukielezea kwa undan ili wanafunz waweze kusoma na kuelewa na vilevile sisi wengine tuweze kufundisha wadogo zetu?mf: BIOLOGY 4M 2,ndani yake watu wakachangia topic yoyote kulingana na silabac ya tanzania,akawepo wa kuelezea digestion,classfication n.k kulingana na kile anachokijua mtu kwa kiingereza chepes ili wale wa st kayumba wasipate shida.na hz thread ziwe special kwan nimeona kuna baadhi ya uzi zna rangi ya njano na hua zinakua za kwanza kila unapofungua jukwaa.
 
idea Nzuri ila nauliza je wahusika wakuu ambao ni wanafunzi wapo humu na kama wapo je wako tayari
 


Kiswahili kinazidi kudidimia !

Mkuu (UNDANI) na (UNDAN) ni maneno tofauti ! Tujaribu kuzingatia !

BTW :focus:

kuna mtandao upo ! Kwaajili ya wanafunzi na walimu na ata wewe kama sio mwalimu unaweza elezea au kutoa mchango wako fulani kuhusiana na somo huzika !

Ila tukiiweka JF sizani kama italeta picha nzuri !

myElimu | Discussions For Briliant Students

Mtizamo wangu tu !
 
asante sana.umenikosoa sana kwa kutokuandika kiswaili kizuri,lakini yote hayo ni kutokana na kubana uandishi wangu tu.kwani simu yangu inaniruhusu alfabdti 1024 tu.mtandao uliousema uko vizuri sana.asante kwa mchango wako
 

da br thnx bt nikiingia nayo inakata kwenye broswer bt naomba uniweke ful website ya hii ya discussion ya elimu coz hyo hapo inafail naomba iweke vizur kama website nyangine mfano www.moe.go.tz coz ninashida nayo
 
Hi.
I dont want to attack the thread, because of the gramar or anything else.

Ndugu, wazo lako ni zuri, lakini kuna drawbacks nyingi sana.

Mfano, unasema kila mtu achangie katika kufundisha, je unadhani, kila mtu anaweza kufundisha?, na nnaimani kuwa, katika shule za sekondari, kuna specialization of subjects; sasa mwalimu wa englishi akatafute nini kwenye biology?
Na kama ni kurahisisha lugha, unadhani ni rahisi hivyo, na kwa nini asifanye hivyo, kwenye somo lake husika.

Masomo aliyosomea mwalimu husika, atayafundisha kwa ufanisi zaidi kuliko akivamia somo.

Mfano, katika shule ninayo ifundisha mda huu, kuna mwal. Mmoja (alisoma CBG alipokuwa a, level) anastahili kufundisha GEOGRAPHY na BIOLOGY lakini cha kushangaza akaamua kuacha Geog. Na kuanza kufundisha Chemistry, mda huu hawa watoto wanahali mbaya hamna mfano, na nnapata kazi sana kuwafundisha maana concept ndogo ndogo tu zinawazingua.

Maoni yangu ni haya,
Kwa jinsi nilivyo waangalia hawa watoto wa hapa shuleni kwangu (na nnadhani ni % kubwa ya st. Kayumba) watoto hawaelewi vitu vifuatavyo.

1. Watoto wanashindwa kuelewa sentensi ya swali husika (hawaelewi kiingereza kabisaaaa).
Hii inamaanisha kwamba, watoto hawakupata/hawakuelewa english coarse sawa sawa,

2. Watoto wanashindwa kuelewa hitaji la swali ni nini.

3. Watoto hawaelewi maneno muhimu na maana yake kwenye swali husika. Kwa mfani form 3 nilimwambia, brifly explain nikashangaa ameniandikia kurasa mbili za maelezo.

4. Watoto hawajui jinsi ya kujibu swali kwa ufanisi unao takiwa.

Sasa kwa hayo yote, mwalimu husika akifanya kazi yake katika somo lake, watoto watafanikiwa, na pia licha ya kuwaelekeza lugha pia inatakiwa kuwafundisha mbinu mbali mbali za kujibu maswali tofauti tofauti.


"In classroom context, not every one can teach"
 
wakina mlugo ni wengi nchi hii ila hawajapata nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…