mr.chengachenga
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 155
- 104
nimepata wazo kua sasa ni wakati wa kuwakumbuka wadogo zetu na watoto wetu wa sekondari hasa katika upande huu wa elimu.elimu yetu imekua mbovu na hasa wakati huu wa kampeni ya BRN.wazaz wamekua wanashindwa kuwa fundisha watoto wao masomo ya sasa hasa wanapoingia sec kwa kisingizio cha kutoyaelewa huku cc kaka na dada zao tukishindwa vilevile kwa kisingizio cha kukosa vifaa kama vitabu na vitu vingenevyo(nikiwamo mimi mwenyewe).
Sasa natoa wazo,ni hv. kwa nini tusianzishe wa kila somo na kidato chake ili kila mtu aweze kuweka huko kitu fulan na kukielezea kwa undan ili wanafunz waweze kusoma na kuelewa na vilevile sisi wengine tuweze kufundisha wadogo zetu?mf: BIOLOGY 4M 2,ndani yake watu wakachangia topic yoyote kulingana na silabac ya tanzania,akawepo wa kuelezea digestion,classfication n.k kulingana na kile anachokijua mtu kwa kiingereza chepes ili wale wa st kayumba wasipate shida.na hz thread ziwe special kwan nimeona kuna baadhi ya uzi zna rangi ya njano na hua zinakua za kwanza kila unapofungua jukwaa.