Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Sina shaka wewe ni MFAIDIKA wa kauri ya Bashe, au we ndiye Bashe mwenyewe!Unahisi ugumu wa maisha yako utakuwa na ahueni yeyote endapo Bashe atajiuzulu??
Msitake kutengeneza mlima kutoka kwenye kichuguu, kauli iliyosemwa na Bashe ilikuwa ni msisitizo wa time frame ya mabadiliko ya bei. Unadhani sukari ikipungua bei mwezi Ramadhani watauziwa waislam tu???
Tujaribu kuepuka kuhusisha dhiki zetu na maisha ya wengine. Huo ukristo wako unaohisi umetengwa ulishawahi kukuletea sukari nyumbani kwako??
Ruhusa kuamini imani yeyote lakini isifikie kiasi cha kukutoa ufahamu kama vile hiyo dunia imeasisiwa na babu yako.
Ni bashe au ni bashaSina shaka wewe ni MFAIDIKA wa kauri ya Bashe, au we ndiye Bashe mwenyewe!
Akili umepeleka wapi....?Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Duh...Awamu ya nne ndio iliwaleta hawa watu
Mwinyi naye akaleta waarabu kina abood
Wewe haupo kujenga . ...upo kubomoa tu, na watu wengi wa aina yako kamwe hawaconcentrate na positivite view kwenye issue yoyote ile ...ni negative tu.Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Acha ubaguziAwamu ya nne ndio iliwaleta hawa watu
Mwinyi naye akaleta waarabu kina abood
Kuna siku utasema Mungu ajiuzulu kWa kuendesha dunia bila uwazi na kuonekanaMmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Kumbe we ni mdini.Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
"Kauri"Sina shaka wewe ni MFAIDIKA wa kauri ya Bashe, au we ndiye Bashe mwenyewe!
Hii ina ukweliNchi yenyewe inaendeshwa mithili ya kuku aliekatwa kichwa alafu akaachiwa, kila mmoja anajitupa kwa kadri anavyo weza, vitu vingine ni kupuuza tuu