TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Angesema April ungeelewa?Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Wakristu sometimes tunajidhalilisha kWa kutafuta vitu vidogo vidogo na kuacha hoja za maana
Hoja kuu ni sukari…