Angesema April ungeelewa?Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Hili halijawah kuwa tatizo kwa mtu yyte,ila kusema sukari itakuepo Ramadhan,hapa kuna tatizoLabda Bashe anapenda tu kuwa controversial saa nyingine, huwa namuona hata anapenda kutinga kanzu bungeni na katika ofisi yake[emoji1787]
We umekiangalia kwny mtazamo gani?!sasa ndio umeandika nini hapo.
Sisi waafrika akili ndogo sana, kila kitu tunakiangalia katika mtazamo wa kidini.
Hivi kumbe tatizo la ukosefu wa sukari linawaathiri waislamu tu? Kweli kwa akili hizi CCM itatawala maisha.Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
huo ni upotoshaji na uchochezi usio na tija wala maana yeyeote 🐒Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Tanzania hamna Mkristo wala Muislamu safi ila watu Wahuni wamejificha kwa mwamvuli wa dini.Hakuna taifa lenye watu walioishika dini likawa masikini kwa rushwa na ufisadi.Rejea Libya ya Gadafi nenda mpaka Qatar uko na nchi za Scandinavia huko ndiyo Kuna watu wana hofu ya Mungu na Wana maendeleo ya kweli na uwizi wa mali za umma haupo na kama upo basi ni kwa bahati mbaya.Angesema April ungeelewa?
Wakristu sometimes tunajidhalilisha kWa kutafuta vitu vidogo vidogo na kuacha hoja za maana
Hoja kuu ni sukari…
Baadhi ya wakiristo mnatabu sana.Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Kwa huu uandishi wako ni kichaa pekee ndiyo anaweza kubishana na wewe.Sina shaka wewe ni MFAIDIKA wa kauri ya Bashe, au we ndiye Bashe mwenyewe!
ACHA UJUAJI WA KIJINGAMmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Asili ya hilo jina linatokana Pasha Kipersia na lilisambazwa sana na Waturuki, rejea Rustem PashaNi bashe au ni basha
Binafsi sioni tatizoMmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania