Wazo lenye mantiki: Bil 5.4 zilizotaifishwa toka biashara haramu ya upatu zielekezwe wilayani Chato kuboresha huduma ya maji

Niboreshe wazo lako, nafikiri bajeti yote 2021/2022.. ielekezwe kwenye hiyo Wilaya pekee.
Wajenge vyote viishe! Tupumzike.

Ili miaka iliyobakia tuzungumzie maendeleo wilaya za Tunduru, Liwale, Masasi, Namtumbo, Malinyi n.k

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Huduma za jamii mahali popote duniani sio za kuomba kwa wanasiasa bali ni wajibu wa Serikali na viongozi wanaongoza serikali hizo kupeleka huduma. Sio hisani.

Tulipe kodi, alafu tuombe. Mbona wao kodi hawaombi ila ni LAZIMA.

Tuache upendeleo ni heri ungesema hizo fedha wakopeshwe vijana kwenye vikundi kwasababu zimetokana na wao kutaka kujikwamua kutoka kwenye umasikini.

Wewe umekomalia maji tangu uhuru tunazungumzia maji, barabara. Huo ni ufala.
 
Kama ziwa lipo tu umbali wa kilomita mbili na mpaka leo mna shida ya maji basi niseme wakazi wa huko ni wajinga na wapumbavu

Nashauri wajengewe shule kwanza kuondoa ujinga.
 
Wasukuma siyo wabinafsi, sijui huyu katoa wapi roho ya ubinafsi. Hizi taarifa kuwa ni mrundi zinaweza kuwa kweli kabisa.
akijenga barabara mnasema sio kiongozi ni msimamizi huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…