Kwa mikakati ambayo tayari imeandaliwa na 'mboga mboga' itakuwa kazi pevu..Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.
Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.
Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.
Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.
Nawakilisha.
Wazo zuri,karibu kwa kuutambua ukweli mwanzo nakumbuka ulikuwa kundi kama la akina Lucas,choicevariable na rafiki zao wa nyakati hizi.Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.
Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.
Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.
Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.
Nawakilisha.
CHADEMA hii ninayoijua au tusubiri nyingine? Wazee wa sumu hailambwi! Wazee wa bapa!Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.
Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.
Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.
Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.
Nawakilisha.
ni kweliKwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.
ni kweliTukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.
why hicho tuu?Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.
ni kweliViongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.
asante kwa wasilisho,its very unfortunately kwa Tanzania,chama kwa maana halisi ya chama cha siasa, tuna chama kimoja tuu,the one and only。Nawakilisha.
Watanzaniza wako mtaani kawahamasihe hasa ndugu zako kule bushi, ukisha wabadilisha wale kazi kwisha.Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.
Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.
Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.
Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.
Nawakilisha.
Vizuri sana ila ushenzi ulishafanyika wa KUENGUANA.Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.
Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.
Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.
Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.
Nawakilisha.
Ni Wewe kweli au nimesoma Vibaya?? Kweli sio kila homa ni malaria..... nyakati zimebadilika. Asante mnoooooKwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.
Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.
Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.
Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.
Nawakilisha.
Naunga mkono hojaKwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.
Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.
Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.
Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.
Nawakilisha.
Upo vizuri kabisaKwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.
Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.
Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.
Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.
Nawakilisha.
Mh!Kwa CHADEMA hii sijaona km inaweza kufurukuta mbele ya CCM. Ingekuwa ile ya kipindi cha Dr Slaa ningeipa consideration ila siyo hii ya sasa
Bado hawajajipanga kuongoza nchi, ajenda zao ni nyepesi mno na muda mwingi kampeni zao ni za kutoa shutuma na kulialia kutafuta huruma ya wananchi. Ni rahisi sana kutolewa kwenye reli na kusahau kabisa agenda zao. Hawapo organized kabisa
Leo hii ikatokea mtu wao katekwa kwa makusudi ya kuwavuruga, wanachama wote nchi nzima wataenda na hilo beat. Yaani mm nataka mniambie nikiwachagua mtanifanyia nini mnaanza kunihubilia habari za kutekwa?
Baki kwny mstari nikuchague kwa sera zako sio kwa kukihurumia chama chako! Jifunzeni kwa walioendelea, Trump alikula shaba ya sikio lakini haikumfanya apoteze focus yake na kutwa nzima awe anawaelezea raia wake jinsi alivyonusurika kuuawa