NYATUKU
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 787
- 491
Naenda na CCMKwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.
Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.
Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.
Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata wabunge imara.
Nawakilisha.