Wazo, maarifa, maono, uthubutu na mafanikio unageuka kuwa chuki mbele ya wanaokuzunguka

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Hapa tanzania kuna kasoro inaweza kuwa ni vinasaba yetu tuliyopewa na Mungu ukilinganisha na mataifa mengine na tabia zao.

Kwa nini watu wenye maono, wazo, maarifa, uthubutu na mafanikio yakijitokeza basi nafsi zetu zinabadilika na kuanza kumchukia gafla bila sababu.



pili tabia zetu tunaweza kumpoteza kabisa ili tubaki tukiwa sawa


mfano mimi nilipo kuwa na wenzangu kila siku tukikutana baa tunapiga story za mpira na siasa ila nilipotoa wazo la kulima mpunga niliona nafsi zimebadilika sasa nimevuna mpunga naona kabisa nyuso zao zinaonesha kuwa wamechukia kabisa mpaka ongea zao unaona kabisa kuna utofauti.

Tanzania tatizo ni lipi
 
KARIBU TANZANIA, NCHI ILIYOJAZA WATU WENYE CHUKI ZAIDI KULIKO MAARIFA, UJUZI NA MAENDELEO πŸ˜ŠπŸ€’πŸ˜Ž
 
Yani nimesikitika sana mishumaa inaenda kuiteketeza balbu. Ni picha yenye kitu kikubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…