Mbulula sana jamaa nyie, kwakuandika sizani anayenifikia mimi nimewaweka sawa juu still bado wengi wenu munaonekana weupe kabisa, niki-qoute mada nilizoandika humu utajua naandika contents zilizonyooka kiasi gani ila sitaki id yangu nyengine itambulike tu.
Nimechagua niwasilishe kwa namna navyotaka mie na ndivyo na ndivyo nilivyowasilisha mada sasa hamuelewi nini, je ingekuwa ni passage umepewa kwenye interview ungemwambia muuliza mwaswali uwelewi, jukwaa limejaa akili ndogo kufata mkumbo, mada ijataka mtu atoe jibu wala kukwambia cha kujibu munafosi kuandika utumbo tu.
Munaelekezwa munaboa nyie jamaa.
Sent using
Jamii Forums mobile app