Wazo: Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Tanzania kusini, Tanzania Kaskazini, Tanzania Magharibi na Tanzania Mashariki

Dawa yao ndogo kuwa mkitaka kanda wachaga wote waliozagaa nzima wote waondoke huko waliko warudi kanda yao sababu sio kabila la hizo kanda na makabila mengine yasiyo ya kilimanjaro yaliyoko Kilimanjaro nao wafungashwe virago warudi kanda zao halafu tuone kabila lipi litaloumia na kulia nyau kuliko kabila lolote Tanzania

Tukija umeme watu wa Morogoro kidatu na Rufiji ndio watakuwa wamiliki wa umeme wote nchini kuuzia nchi nzima na pesa zote za makusanyo wachukue wao sababu vyanzo vya umeme viko mkoani kwao

Tuone nani wataendelea haraka kati ya wachaga wasubiri mpanda mlima kilimanjaro na kuuza ndizi na Mtori na kitimoto pale kilimanjaro ndipo apate pesa wakishindanishwa na huyo wa umeme.muuza umeme nchi nzima ikiwemo kilimanjaro
Una mawazo ya kijinga sana. Kuwa na mfumo wa majimbo haina maana kila jimbo lita miliki peke yake rasilimali zilizo katika eneo lake. Mfumo huu unatumika ktk mataifa meni mfano Kenya, Nigeria, SA, Brazil, Japan, US, Germany etc.
 
Kuna kanda hazito faidika na rasilimali za taifa kabisa, na mwisho tutatengeneza umasikini kwenye kanda zisizo na rasilimali za asili na huo ndio utakua mwanzo wa vita baina ya kanda na kanda

..hebu tupe mfano wa kanda ambazo unadhani zitaingia vitani na tueleze zitakuwa zinagombea nini.

..mbona sasa hivi kuna mikoa lakini hakujatokea vita kati ya mkoa mmoja dhidi ya mwingine?
 
Kwaiyo na wewe ukoo wako ukiugawa ndio maendeleo yatakuja haraka?

Sasahivi ni muda wa kuwaza kuiunganisha Afrika iwe nchi moja, na sio kuvunja nchi zetu

..basi tuondoe mikoa na hata wilaya ili tusiigawe nchi.
 
Wazo liko hivi;

Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Nchi zigawike kwa kuzingatia kanda kuu 4. Kanda ya Kaskazini, kanda ya kusini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya mashariki. Tunaweza kuzipa majina mapya au tukaziita majina kulingana na location zake.

Tanzania kama shirikisho itakuwa na majukumu machache tu sawasawa na makubaliano.

Hii itachochea maendeleo.
Tuwe tu wakweli ngozi nyeusi IQ zetu hazitoshi kuendesha nchi kubwa kama hii ya Tanzania.

Tukiigawa tutaendelea haraka.
Kanda itakayokuwa nyuma itapigwa kampani ni shirikisho ambalo litakuwa linapokea sehemu kidogo ya kodi kutoka katika shughuli za kiuchumi kwenye Kanda (nchi) zote za shirikisho.
Suluhisho ni kuunda Serikali za Majimbo
 
..basi tuondoe mikoa na hata wilaya ili tusiigawe nchi.
Mikoa yetu na wilaya zetu zina marais wake, zina sarafu zake, zina bendera zake, zina mabalozi wake wanazoziwakilisha nje.

Ungesema tugawe kwenye majimbo ingekuwa na mashiko zaidi.
 
Wazo liko hivi;

Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Nchi zigawike kwa kuzingatia kanda kuu 4. Kanda ya Kaskazini, kanda ya kusini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya mashariki. Tunaweza kuzipa majina mapya au tukaziita majina kulingana na location zake.

Tanzania kama shirikisho itakuwa na majukumu machache tu sawasawa na makubaliano.

Hii itachochea maendeleo.
Tuwe tu wakweli ngozi nyeusi IQ zetu hazitoshi kuendesha nchi kubwa kama hii ya Tanzania.

Tukiigawa tutaendelea haraka.
Kanda itakayokuwa nyuma itapigwa kampani ni shirikisho ambalo litakuwa linapokea sehemu kidogo ya kodi kutoka katika shughuli za kiuchumi kwenye Kanda (nchi) zote za shirikisho.
Hapo tutakwama tu, asilimia kubwaya mapato inapatikana Dar es Salaam pekee kuanzia viwanda, mitaji mpaka shughuli za nje hivyo kuna baadhiya kanda zitafanikiwa zaidi kuliko nyingine

Bado tuna kila sababu ya kuendelea hivi ila ni muhimu tukisambaza maendeleo na sehemu nyingine pia
 
Tupeni kanda yetu ya maghalibi Tabora,kigoma, simiyu, shinyanga, Mwanza, Mara, Geita na Kagera. Tutajuana wenyewe .
 
Wazo liko hivi;

Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Nchi zigawike kwa kuzingatia kanda kuu 4. Kanda ya Kaskazini, kanda ya kusini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya mashariki. Tunaweza kuzipa majina mapya au tukaziita majina kulingana na location zake.

Tanzania kama shirikisho itakuwa na majukumu machache tu sawasawa na makubaliano.

Hii itachochea maendeleo.
Tuwe tu wakweli ngozi nyeusi IQ zetu hazitoshi kuendesha nchi kubwa kama hii ya Tanzania.

Tukiigawa tutaendelea haraka.
Kanda itakayokuwa nyuma itapigwa kampani ni shirikisho ambalo litakuwa linapokea sehemu kidogo ya kodi kutoka katika shughuli za kiuchumi kwenye Kanda (nchi) zote za shirikisho.
Halafu wale wa kuvuka kwa mashua watakuwa kwenye ipi
 
Lindi, Mtwara, Njombe, Iringa, Mbeya, Ruvuma, Morogoro.
Dar es salaam, Pwani, Tanga .
Mara, Bukoba, Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Geita.
Dodoma, Singida, Kigoma, Tabora.
Mikoa mingine iingize humo ndani ya Mikoa hiyo
 
Jambo ni moja tuu, Zanzibar kuwa mkoa wa Tanzania, iwe kwa vita au amani.
 
Kuna kanda hazito faidika na rasilimali za taifa kabisa, na mwisho tutatengeneza umasikini kwenye kanda zisizo na rasilimali za asili na huo ndio utakua mwanzo wa vita baina ya kanda na kanda
Zitabuni njia nyingine akili itakuja wakati wa matatizo akili uja
 
Mikoa yetu na wilaya zetu zina marais wake, zina sarafu zake, zina bendera zake, zina mabalozi wake wanazoziwakilisha nje.

Ungesema tugawe kwenye majimbo ingekuwa na mashiko zaidi.

..mimi sijasema mikoa au wilaya iwe na Maraisi, sarafu, etc.

..hata majimbo hayatakuwa na mambo hayo, ambayo kwa kawaida na yanawekwa ktk serikali kuu.
 
Nchi saba
Tanganyika
Tanzania Unguja
Tanzania Pemba
 
Wazo liko hivi;

Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Nchi zigawike kwa kuzingatia kanda kuu 4. Kanda ya Kaskazini, kanda ya kusini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya mashariki. Tunaweza kuzipa majina mapya au tukaziita majina kulingana na location zake.

Tanzania kama shirikisho itakuwa na majukumu machache tu sawasawa na makubaliano.

Hii itachochea maendeleo.
Tuwe tu wakweli ngozi nyeusi IQ zetu hazitoshi kuendesha nchi kubwa kama hii ya Tanzania.

Tukiigawa tutaendelea haraka.
Kanda itakayokuwa nyuma itapigwa kampani ni shirikisho ambalo litakuwa linapokea sehemu kidogo ya kodi kutoka katika shughuli za kiuchumi kwenye Kanda (nchi) zote za shirikisho.
Kwahiyo CCM wamejimegea kanda ya kati! Mbona umeificha!
 
Back
Top Bottom