Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 683
Nipe bei ya hii mifuko make kwasasa ndio fursaMifuko mbadala wa Plastiki View attachment 1107917
We jamaaa upo nomaaaasikutishi nakutahadharisha. Huo mtaji wako unaweza kuupoteza usipokuwa makini. usianze kufanya biashara kwanza, tumia wiki moja au mbili kufanya research. usiwe kama wengine hufanya research kwa kuangalia tu, ingia mahali fanya kazi.
•ukitaka biashara ya mamantilie, jipe wiki moja kila siku upo kwa mamantilie unamsaidia kazi na kupiga naye stori.
•ukitaka biashara ya kuuza matunda, nenda kwa muuza matunda msaidie kuuza (hawez kukataa ukimweleza nia yako)
biashara zipo nyingi kwa dodoma mjini kwa mtaji huo, jambo la msingi tafuta location nzuri.
sasahivi nipo dodoma soko la sabasaba. ukipita hapo asubuhi ukaona nimeshika chupa za uji natembeza basi ujue ni mimi.
ukipita saa nne hivi ukaona mtu anasambaza chai kwa madereva daladala, basi ujue ni mimi.
ukipita mchana ukaona nipo na sahani za vyakula, basi ujue ni mimi.
ukipita jioni ukaona nipo kwenye mkokoteni nauza ndizi/parachichi/tikiti basi ujue ni mimi. ikifika usiku utanikuta maeneo ya chako ni chako, morena au pestana. sio kwamba nakula bata bali nauza kondomu na dawa za kuongeza nguvu za kiume.
by the way leo ukipita sabasaba utaniona nimevaa tisheti nyekundu imeandikwa BORN TO SUFFER. ukiniona nisalimie usinipite hivi hivi nami nitakusaidia namna ya kutumia mtaji wako vizuri.
Naipataje hiyo mkuu tufanye biasharaMifuko mbadala wa Plastiki View attachment 1107917
shukran ntakutafuta mkuu
Nipe namb zako bloodsikutishi nakutahadharisha. Huo mtaji wako unaweza kuupoteza usipokuwa makini. usianze kufanya biashara kwanza, tumia wiki moja au mbili kufanya research. usiwe kama wengine hufanya research kwa kuangalia tu, ingia mahali fanya kazi.
•ukitaka biashara ya mamantilie, jipe wiki moja kila siku upo kwa mamantilie unamsaidia kazi na kupiga naye stori.
•ukitaka biashara ya kuuza matunda, nenda kwa muuza matunda msaidie kuuza (hawez kukataa ukimweleza nia yako)
biashara zipo nyingi kwa dodoma mjini kwa mtaji huo, jambo la msingi tafuta location nzuri.
sasahivi nipo dodoma soko la sabasaba. ukipita hapo asubuhi ukaona nimeshika chupa za uji natembeza basi ujue ni mimi.
ukipita saa nne hivi ukaona mtu anasambaza chai kwa madereva daladala, basi ujue ni mimi.
ukipita mchana ukaona nipo na sahani za vyakula, basi ujue ni mimi.
ukipita jioni ukaona nipo kwenye mkokoteni nauza ndizi/parachichi/tikiti basi ujue ni mimi. ikifika usiku utanikuta maeneo ya chako ni chako, morena au pestana. sio kwamba nakula bata bali nauza kondomu na dawa za kuongeza nguvu za kiume.
by the way leo ukipita sabasaba utaniona nimevaa tisheti nyekundu imeandikwa BORN TO SUFFER. ukiniona nisalimie usinipite hivi hivi nami nitakusaidia namna ya kutumia mtaji wako vizuri.
sikutishi nakutahadharisha. Huo mtaji wako unaweza kuupoteza usipokuwa makini. usianze kufanya biashara kwanza, tumia wiki moja au mbili kufanya research. usiwe kama wengine hufanya research kwa kuangalia tu, ingia mahali fanya kazi.