Wazo/ushauri wa biashara nina mtaji wa laki tatu (3) Dodoma mjini

Kama kuna mtu anaweza risk pesa yake 50,000/= mpaka 80,000/= tufanye biashara pamoja anicheki chap | kuna migahawa nishaongea nayo na mameneja wake wanachosubiri niwapelekee mfano wa mfuko na bei husika kwa hapa nahiyaji mifuko midogo ya kufungia ubwabwa, chips nk iwe bei ndogo sana maana tutuiuza mingi.... | namtaka mtu wa kazikazi pia yutakuwa na mikubwa kiasi mbinu mzima nitakwambia tunafanyaje.

Now nimepata matatizo sina kitu ndio maana nataka uyo mtu chap kwa leo tu maana kufikia kesho naweza kusaidika.
 
sikutishi nakutahadharisha. Huo mtaji wako unaweza kuupoteza usipokuwa makini. usianze kufanya biashara kwanza, tumia wiki moja au mbili kufanya research. usiwe kama wengine hufanya research kwa kuangalia tu, ingia mahali fanya kazi.

•ukitaka biashara ya mamantilie, jipe wiki moja kila siku upo kwa mamantilie unamsaidia kazi na kupiga naye stori.

•ukitaka biashara ya kuuza matunda, nenda kwa muuza matunda msaidie kuuza (hawez kukataa ukimweleza nia yako)

biashara zipo nyingi kwa dodoma mjini kwa mtaji huo, jambo la msingi tafuta location nzuri.

sasahivi nipo dodoma soko la sabasaba. ukipita hapo asubuhi ukaona nimeshika chupa za uji natembeza basi ujue ni mimi.

ukipita saa nne hivi ukaona mtu anasambaza chai kwa madereva daladala, basi ujue ni mimi.

ukipita mchana ukaona nipo na sahani za vyakula, basi ujue ni mimi.

ukipita jioni ukaona nipo kwenye mkokoteni nauza ndizi/parachichi/tikiti basi ujue ni mimi. ikifika usiku utanikuta maeneo ya chako ni chako, morena au pestana. sio kwamba nakula bata bali nauza kondomu na dawa za kuongeza nguvu za kiume.

by the way leo ukipita sabasaba utaniona nimevaa tisheti nyekundu imeandikwa BORN TO SUFFER. ukiniona nisalimie usinipite hivi hivi nami nitakusaidia namna ya kutumia mtaji wako vizuri.
We jamaaa upo nomaaaa
 
Nipe namb zako blood
 
Salute.
 
Biashara ni kujituma, but nzuri ni iyo namba mazao maana una uzoefu
 
Back
Top Bottom