Rufiji
Platinum Member
- Jun 18, 2006
- 1,883
- 948
Gaijin,
Nakubaliana na wewe asilimia mia kitakachom-haunt Kikwete milele ni jinsi alivyochukua madaraka ! Rushwa nyingi sana ilitembea na zaidi walitumia mamilioni ya shilingi toka benki kuu . Kikwete haoni mbali yeye alitumia ile principle ya "The end justify the means " ...
Mimi nashindwa kuelewa kama hii kasi ikiendelea baada ya miaka miwili tutabakiwa na nini ? Hivi mnajua ni watoto wangapi Tanzania wanakufa kutokana na kukosekana kwa huduma bora za za afya au kutokana na magonjwa ambayo yangeweza kutibiwa ? Wakati watu wana mamilioni ya dola wameyahifadhi huko nje. Hivi mtu kama Mkapa na Kigoda wanawezaje kulala usingizi huku wakiona dhahiri umasikini wa mtanzania unavyoongeza na wakati huo wanajua kabisa part waliyoplay katika kunyonya mali zao.
Hivi watu wanajua ya kuwa hela tunazongumzia billioni 25, zingeweza kujenga shule moja ya sekondari ya kisasa katika kila mkoa !Nadhani ni muhimu kwa watu wa JF kuacha kuzungumzia hela kama hela bali tuzungumzie hiyo hela ingeweza kufanya nini ili kila mzalendo aweze kuelewa , kwani watanzania wengi esp wa vijijini hawahui impact ya bilioni 25. Tunaenda wapi , kwa nini our leaders are so mean ?
Hivi kweli mkisia mtu kama Mkapa amepata matatizo mtalia ? wakati indirectly amehusika na vifo vingi vya watoto na wakina mama wajawazito kutokana na huduma mbovu za afya.