Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 798
- 1,871
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,,, "" hamna zipo ,,hamna zipo " hatimaye majibu yamepatika
Bila shaka utumishi wameprove kile wanachokisimamia,,, kuwa hamna mtu atakaye pata kazi kwa kupitia utumishi bila kufanya interview
Sasa basi kesho zoezi la kuendesha sahili za walimu nchi zima linaenda kuanza ,, ratiba inaonesha watu wa masomo ya sayansi ndiyo wanatufungulia shughuli yetu na kutokana na uchache wao imekuwa advantage kwao maana wataanza na orol interview moja kwa moja ...
Hivyo basi wote tunajua ,, binadamu tumetofautiana wapo wafupi wapo warefu ,,, hivyo hivyo wapo wenye sauti kubwaa na wapo wenye sauti ndogo ,, lakini ukubwa au udogo wa sauti hauondoi sifa ya mtu kuwa mwalimu kwani tumeona watu wenye sauti ndogo lakini bado wakawa walimu wazuri kuliko wale wenye sauti kubwa
Mfano Albert Einstein ,, mwanasayansi wa ki-israeli ambaye alikulia ujerumani na baadae kukimbilia nchini marekani na kuishia kuwa miongoni mwa walimu wazuri wa somo la sayansi licha ya kuwa na sauti ndogo lakin pia kutokuwa na uwezo mzuri wa lugha ya kiingereza bado aliweza kulimudu darasa lake vizuri kwa msaada wa mic
kwa niaba ya walimu wenzangu wote bila kujali ni wa sayansi au sanaa ,, tulikuwa tunaomba tuwekewe mic wakati wa oral interview ili iwe rahisi kusikika kile tunachoongea na panel yote ya utumishi ukizingatia wengine wakati tunatema yai sauti zetu automatically huwa zinajipunguza ili kuepusha watu kusikia ukoseaji wa matamshi wa baadhi ya maneno wakati tunaongea
Natumaini ombi letu litakubaliwa
Wako katika kazi
Mmea ☘️