Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri MkuuHayawi hayawi sasa yamekuwa ,,, "" hamna zipo ,,hamna zipo " hatimaye majibu yamepatika
Bila shaka utumishi wameprove kile wanachokisimamia,,, kuwa hamna mtu atakaye pata kazi kwa kupitia utumishi bila kufanya interview
Sasa basi kesho zoezi la kuendesha sahili za walimu nchi zima linaenda kuanza ,, ratiba inaonesha watu wa masomo ya sayansi ndiyo wanatufungulia shughuli yetu na kutokana na uchache wao imekuwa advantage kwao maana wataanza na orol interview moja kwa moja ...
Hivyo basi wote tunajua ,, binadamu tumetofautiana wapo wafupi wapo warefu ,,, hivyo hivyo wapo wenye sauti kubwaa na wapo wenye sauti ndogo ,, lakini ukubwa au udogo wa sauti hauondoi sifa ya mtu kuwa mwalimu kwani tumeona watu wenye sauti ndogo lakini bado wakawa walimu wazuri kuliko wale wenye sauti kubwa
Mfano Albert Einstein ,, mwanasayansi wa ki-israeli ambaye alikulia ujerumani na baadae kukimbilia nchini marekani na kuishia kuwa miongoni mwa walimu wazuri wa somo la sayansi licha ya kuwa na sauti ndogo lakin pia kutokuwa na uwezo mzuri wa lugha ya kiingereza bado aliweza kulimudu darasa lake vizuri kwa msaada wa mic
kwa niaba ya walimu wenzangu wote bila kujali ni wa sayansi au sanaa ,, tulikuwa tunaomba tuwekewe mic wakati wa oral interview ili iwe rahisi kusikika kile tunachoongea na panel yote ya utumishi ukizingatia wengine wakati tunatema yai sauti zetu automatically huwa zinajipunguza ili kuepusha watu kusikia ukoseaji wa matamshi wa baadhi ya maneno wakati tunaongea
Natumaini ombi letu litakubaliwa
Wako katika kazi
Mmea ☘️
😃😃😃😃😃ualimu raha sana, toka ugraduate hujawahi pitia interview hata moja. Course nyingine unakutana na panel ya watu sita wanakushambulia kwa maswali mtu mmoja
Kama kuongea kawaida ni shida utaweza mic?Shida inaanzia hapo tu kwenye woga , je hiyo maiki una uzoefu wa kuitumia au ndo itakusababsh na maks zipungue Kwa kutetemeka, wew be strong kapambane utatoboa
Moja ya sifa kuu ya Mwalimu ni wingi wa sautikwa niaba ya walimu wenzangu wote bila kujali ni wa sayansi au sanaa ,, tulikuwa tunaomba tuwekewe mic wakati wa oral interview ili iwe rahisi kusikika kile tunachoongea na panel yote ya utumishi ukizingatia wengine wakati tunatema yai sauti zetu automatically huwa zinajipunguza ili kuepusha watu kusikia ukoseaji wa matamshi wa baadhi ya maneno wakati tunaongea
Hakuna cha mic kwenye oral kwanza unakuwa karibu yao kabisa na umekaa kwenye kiti …unaulizwa maswali usiposikia unawambia warudie usikie…wasipo kusikia itakuwa shida yako lazima ujifunze kuongea usikike hakuna huruma ….mwalimu lazima ujue principal za communications……I
nterview nyingi ,, zinafanyikia kwenye majengo ya vyuo ,, sidhani kama wanaweza shindwa kuazima hata moja tu
Hatutaki maana madarasa yetu hatujafunga mic Kwa iyo kama hauna saut usijsumbue kuja oral maana stakuskiliza nitakaa nachat wakat unaongea ,au nijifche chin ya meza kama Salam jabri anavyofanyaga kwenye bongo star search,Kwa iyo nkuombe tu mapema ukfka nkikuambia initorudusi yua selfu Kwa kwel uanze kuropoka kama umekanyaga mkaa wa moto bwashe kinyume na ivyo nitakulq kichwa chakoHayawi hayawi sasa yamekuwa ,,, "" hamna zipo ,,hamna zipo " hatimaye majibu yamepatika
Bila shaka utumishi wameprove kile wanachokisimamia,,, kuwa hamna mtu atakaye pata kazi kwa kupitia utumishi bila kufanya interview
Sasa basi kesho zoezi la kuendesha sahili za walimu nchi zima linaenda kuanza ,, ratiba inaonesha watu wa masomo ya sayansi ndiyo wanatufungulia shughuli yetu na kutokana na uchache wao imekuwa advantage kwao maana wataanza na orol interview moja kwa moja ...
Hivyo basi wote tunajua ,, binadamu tumetofautiana wapo wafupi wapo warefu ,,, hivyo hivyo wapo wenye sauti kubwaa na wapo wenye sauti ndogo ,, lakini ukubwa au udogo wa sauti hauondoi sifa ya mtu kuwa mwalimu kwani tumeona watu wenye sauti ndogo lakini bado wakawa walimu wazuri kuliko wale wenye sauti kubwa
Mfano Albert Einstein ,, mwanasayansi wa ki-israeli ambaye alikulia ujerumani na baadae kukimbilia nchini marekani na kuishia kuwa miongoni mwa walimu wazuri wa somo la sayansi licha ya kuwa na sauti ndogo lakin pia kutokuwa na uwezo mzuri wa lugha ya kiingereza bado aliweza kulimudu darasa lake vizuri kwa msaada wa mic
kwa niaba ya walimu wenzangu wote bila kujali ni wa sayansi au sanaa ,, tulikuwa tunaomba tuwekewe mic wakati wa oral interview ili iwe rahisi kusikika kile tunachoongea na panel yote ya utumishi ukizingatia wengine wakati tunatema yai sauti zetu automatically huwa zinajipunguza ili kuepusha watu kusikia ukoseaji wa matamshi wa baadhi ya maneno wakati tunaongea
Natumaini ombi letu litakubaliwa
Wako katika kazi
Mmea ☘️
course nyingine unafanya interview 3 written practical na oral ndio upate kaziualimu raha sana, toka ugraduate hujawahi pitia interview hata moja. Course nyingine unakutana na panel ya watu sita wanakushambulia kwa maswali mtu mmoja