Wazo : utumishi walimu tulikuwa tunaomba mtuwekee Mic kwenye oral interview kama itawezekana

ualimu raha sana, toka ugraduate hujawahi pitia interview hata moja. Course nyingine unakutana na panel ya watu sita wanakushambulia kwa maswali mtu mmoja
 
Kila la kheri Mkuu
 
Shida inaanzia hapo tu kwenye woga , je hiyo maiki una uzoefu wa kuitumia au ndo itakusababsh na maks zipungue Kwa kutetemeka, wew be strong kapambane utatoboa
Kama kuongea kawaida ni shida utaweza mic?
 
Moja ya sifa kuu ya Mwalimu ni wingi wa sauti
 
Kuna mwamba kaulizwa nje ya kusomea ualimu ni gani nyingine unafanya kujiingizia kipato??

Mwamba kajibu "NABETI"
 
I

nterview nyingi ,, zinafanyikia kwenye majengo ya vyuo ,, sidhani kama wanaweza shindwa kuazima hata moja tu
Hakuna cha mic kwenye oral kwanza unakuwa karibu yao kabisa na umekaa kwenye kiti …unaulizwa maswali usiposikia unawambia warudie usikie…wasipo kusikia itakuwa shida yako lazima ujifunze kuongea usikike hakuna huruma ….mwalimu lazima ujue principal za communications……

NB : usili ni kwa kingereza
 
Hatutaki maana madarasa yetu hatujafunga mic Kwa iyo kama hauna saut usijsumbue kuja oral maana stakuskiliza nitakaa nachat wakat unaongea ,au nijifche chin ya meza kama Salam jabri anavyofanyaga kwenye bongo star search,Kwa iyo nkuombe tu mapema ukfka nkikuambia initorudusi yua selfu Kwa kwel uanze kuropoka kama umekanyaga mkaa wa moto bwashe kinyume na ivyo nitakulq kichwa chako
 
ualimu raha sana, toka ugraduate hujawahi pitia interview hata moja. Course nyingine unakutana na panel ya watu sita wanakushambulia kwa maswali mtu mmoja
course nyingine unafanya interview 3 written practical na oral ndio upate kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…