Wazo: Viongozi waYanga wapeleke Bango Mlima Kilimanjaro

5 Nyingi

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2023
Posts
246
Reaction score
605
Jambo hili lisiishe hivi hivi, ni lazima watalii wajue kilicho tokea. Bango la 5G lipelekwe kwenye kilele cha mlima mrefu kuliko yote Africa, pia bango liwekwe kwenye malango yote ya hifadhi za taifa na mbuga za wanyama.

Ni muhimu pia kuweka kwenye international airports, bandari (Boss la DP World atusaidie kupata space) na kwenye stesheni ya treni mwendo kasi.

Hili jambo sio siri, viongozi wa Yanga msitubanie, wekeni mambo hadharani.
 
Hii nchi tumeaminishwa kuwa Wasukuma ni watu washamba kuliko wote hapa nchini. Tuseme mashabiki wote wa Yanga na viongozi wao (GSM na Eng.Hersi wakiwemo) nao ni Wasukuma?
 
Hoja imeungwa Mkono, bango lipandishwe kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro.

Wanajifanya wamesahau walivyo tusumbu wa na kibegi chao kilichojaa malonyalonya ya Kichina, sasa na bado mpaka waseme.
Asante ndugu mjumbe.
 
Pia wapeleke Kwenye njia za kutokea miji mikubwa yote TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…