Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Tatizo litaanza baadaye pale utakopo ombwa mtu.Mtalaamu anakuitia jini unaingia mkataba nalo likutafutie KAZI baada ya hapo unatoa kafara ya mnyama(ng'ombe)
Haya mambo ya kichawi ndio yanafanya Afrika isiendelee. Afrika ni maskini kwasababu ya mambo ya kichawi. Nenda kwenye vijiji ambavyo wanafanya uchawi uone kama kuna maendeleo. Kwa Dar es Salaam nenda maeneo yanayo fanya huo uganga ulozi na uchawi nenda Mbagala, Gongo la Mboto, nenda Chanika nenda maeneo yote ya Pwani. Sehemu hizo hazina maendeleo kwasababu ya kufanya mambo ya uchawi, Uganda na ulozi.Tiba asili ndio mkombozi wa waafrica.
Allah
Yesu
Ni matokeo ya ujio wa wageni.
Hii hapa njia ya kupata connection au ajira direct.
Mtalaamu anakuitia jini unaingia mkataba nalo likutafutie KAZI baada ya hapo unatoa kafara ya mnyama(ng'ombe)
Baada ya hapo unakuwa tayari na KAZI Yako ya maana tu na maisha yanaenda kama kawaida.
Karibuni kwa ushauri na mawazo