Wazoefu naomaba kujuzwa UAGENT kunalipa?

Hustler1

Senior Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
116
Reaction score
111
HI..
Mara zote tumekuwa tukikwama kuanzisha biashara kutokana na mitaji kuwa midogo. kuna makampuni mengi amabayo yana tafuta soko la bidhaa zao.

Sasa kwa mfano mtu ukaamua kuwa agent wa kampuni hizo ili uweze kusambaza/kuuza bidhaa zao kwa wateja ambao utawatafuta wewe

Haijalishi ni kampuni ya ndani au ya nje ili mradi ile bidhaa unauhakika itauza.

Maswali
1.Vigezo vipi huhitajika ili uwe agent?
2.Je inalipa na zipi risks zake ?

Karibuni kwa maoni tujifunze kwa pamoja .

'JF THE HOME OF GREAT THINKERS'
 
1) mtaji wa kuweza kupewa mzigo wa kuweza kuuza kwa wilaya,mkoa au kanda ndio upewe kua Agent.
2)Inalipa ikiwa iyo bidhaa usika inatangazwa na kampuni yenyewe vya kutosha na soko lake la uwakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…