jmosi nakuja mwanza
nakuja kutafuta frem
nataka kufungua goli la phone accessories maeneo yA mwanza
kuna kiasi kidogo nimepata nataka nisikichezee
NAOMBA USHAURI KWA WAJANJA/WANAOIJUA VIZUR
kati ya makoroboi, CBE, na kule ukiwa unatoka capri point wapi panafaa na kama unajua bei zina range ngapi kwenye frame utakua umenisaidia
natanguliza
shukrani