Wazoefu naombeni mwongozo

Wakwee hawana noma ila sasa kuna uyo mama mdogo wa binti ana mdomo hatari haipiti wiki bila kunitext kuhusu ilo suala
 
Inategemea ntu na ntu,fikiria unapopeleka posa tayari familia ikawa ilisha kuwa inafahamu kuwepo Kwa dalili na utayari wa unayemtolea posa,na je vipi ikiwa unako peleka posa wanapata mshangao Kwa kuwa hawakujua chochote wala kutarajia na pia unayemtolea posa hajui chochote au Bado hajaamua au hajawa tayari au hamtaki mtoaposa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…