YoyoTheDeveloper
Member
- Oct 9, 2021
- 36
- 42
standard unachuku muda gani? Mi nikiangiza kwa kitonga cha free shipping uwa inachukua mwezi mzima.Utapokea kwa njia ya posta,kikubwa ni kujaza address kwa usahihi,utapokea mzigo vzur bila shida..jitahid kutumia standard shipping kuepuka mzgo wako kuchelewa sana kama free shipping
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Asante 🙏Utapokea kwa njia ya posta,kikubwa ni kujaza address kwa usahihi,utapokea mzigo vzur bila shida..jitahid kutumia standard shipping kuepuka mzgo wako kuchelewa sana kama free shipping
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Pale kwenye ZIP/Postal Code najaza sanduku la posta au hizi hapo kwenye picha?Utapokea kwa njia ya posta,kikubwa ni kujaza address kwa usahihi,utapokea mzigo vzur bila shida..jitahid kutumia standard shipping kuepuka mzgo wako kuchelewa sana kama free shipping
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Standard average ni siku 21 japo ikichelewa hufika hata 28 au 25, free shipping siku utakutana na caniao au wale wengine mzgo unaeza kaa hata miez 3standard unachuku muda gani? Mi nikiangiza kwa kitonga cha free shipping uwa inachukua mwezi mzima.
Pale weka postcode za eneo lakoPale kwenye ZIP/Postal Code najaza sanduku la posta au hizi hapo kwenye picha?View attachment 2181057
AsanteChangamoto:
Uwezekano wa kutopata mzigo wako na usirudishiwe hela yako
Mkuu, free shipping inategemea muda muda, mm niliagiza ndani ya wiki mzigo umefika, sijawahi kutumia option nyengne zaid ya free shipping. Mim nadhani ukinunua kwa supplier mwenye minyonlta mingi anauprocess mzigo wako kiprofessional chaap tu unafikaStandard average ni siku 21 japo ikichelewa hufika hata 28 au 25, free shipping siku utakutana na caniao au wale wengine mzgo unaeza kaa hata miez 3
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Kweny mostly case free shipping kuwah ni kubet mkuu..kama huna haraka na mzgo wako sawa..ila kma upo serious sana basi lipia standard shipping tuMkuu, free shipping inategemea muda muda, mm niliagiza ndani ya wiki mzigo umefika, sijawahi kutumia option nyengne zaid ya free shipping. Mim nadhani ukinunua kwa supplier mwenye minyonlta mingi anauprocess mzigo wako kiprofessional chaap tu unafika
Eeeh hapo sawa sawaaKweny mostly case free shipping kuwah ni kubet mkuu..kama huna haraka na mzgo wako sawa..ila kma upo serious sana basi lipia standard shipping tu
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Free shipping ikoje mkuu, Kwamba unaomba kusafirisha mzigo bure?Kweny mostly case free shipping kuwah ni kubet mkuu..kama huna haraka na mzgo wako sawa..ila kma upo serious sana basi lipia standard shipping tu
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Yah bt kwa vimzigo vya garama vina kufika lakin kama Hv vya buku 3000 au 5000 vuta subra tuFree shipping ikoje mkuu, Kwamba unaomba kusafirisha mzigo bure?
Ndio mkuuFree shipping ikoje mkuu, Kwamba unaomba kusafirisha mzigo bure?
ukiona cainiao super economy global toroka usitumie njia hiyo imenitokea nks agiza mzigo mwezi wa sita mwaka jana nimeipata mwaka huu januari.Free shipping ikoje mkuu, Kwamba unaomba kusafirisha mzigo bure?
Je kama free shipping ni ya Aliexpress wenyewe?ukiona cainiao super economy global toroka usitumie njia hiyo imenitokea nks agiza mzigo mwezi wa sita mwaka jana nimeipata mwaka huu januari.
kama ni AliExpress standard shipping shipping chukua vile vile cainiao for special goods iko poa 2 weeks tu.Je kama free shipping ni ya Aliexpress wenyewe?
Logic sio free shipping bali nani analeta. Inaweza andikwa free shipping ila ikawa ni Aliexpress standard free shipping (kwa maana seller atalipa mwenyewe fees) na inaweza ikawa shipping ya bei ndefu ila ni Caniao. Hao caniao unaweza ukajuta, miezi kadhaa unasubiri mzigo.Mkuu, free shipping inategemea muda muda, mm niliagiza ndani ya wiki mzigo umefika, sijawahi kutumia option nyengne zaid ya free shipping. Mim nadhani ukinunua kwa supplier mwenye minyonlta mingi anauprocess mzigo wako kiprofessional chaap tu unafika