Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
Ondoa shaka mkuu, wapo vizuri sana, soma hata review zao. Mimi ndiyo niliagiza hiyohiyo tablet mkuu, na shipping ikachukua week mbili.Hii kitu ndo nataka niagize na mimi ila nasita kwenye uhakika wa kuletewa,, vipi kodi makato yake ikishafika huku ni asilimia ngapi ya manunuzi?
Hakuna malipo mengine yoyote sanasana nililipa 3000 tu pale posta baada ya mzigo kunifikia.