Dr wa Kaliua JF-Expert Member Joined Sep 20, 2020 Posts 1,634 Reaction score 3,833 Jul 8, 2022 #1 Naomba ushauri ndugu zangu! Kuna kijana wangu amenunua bajaj! Amepata na kituo huku Kigamboni! Ila anauliza kati ya kituo na uber kipi bora!? Au uber town au aunganishe town kipi bora? Naomba mwenye uzoefu ashushe nondo hapa ahsante
Naomba ushauri ndugu zangu! Kuna kijana wangu amenunua bajaj! Amepata na kituo huku Kigamboni! Ila anauliza kati ya kituo na uber kipi bora!? Au uber town au aunganishe town kipi bora? Naomba mwenye uzoefu ashushe nondo hapa ahsante
Statics JF-Expert Member Joined Dec 29, 2017 Posts 394 Reaction score 1,015 Jul 8, 2022 #2 Mwambie ajiunge bolt na uber, kupiga laki kwa siku ni kitu cha kawaida sana.
Dr wa Kaliua JF-Expert Member Joined Sep 20, 2020 Posts 1,634 Reaction score 3,833 Jul 8, 2022 Thread starter #3 Statics said: Mwambie ajiunge bolt na uber, kupiga laki kwa siku ni kitu cha kawaida sana. Click to expand... Mbona nasikia huko kwenye uber na bolt malipo ni makubwa? Inakuaje hapo ukizingatia mafuta yapo juu! Fafanua boss
Statics said: Mwambie ajiunge bolt na uber, kupiga laki kwa siku ni kitu cha kawaida sana. Click to expand... Mbona nasikia huko kwenye uber na bolt malipo ni makubwa? Inakuaje hapo ukizingatia mafuta yapo juu! Fafanua boss