Wazoefu wa Biashara ya bajaji njooni huku

Wazoefu wa Biashara ya bajaji njooni huku

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Naomba ushauri ndugu zangu!

Kuna kijana wangu amenunua bajaj! Amepata na kituo huku Kigamboni!

Ila anauliza kati ya kituo na uber kipi bora!? Au uber town au aunganishe town kipi bora?

Naomba mwenye uzoefu ashushe nondo hapa ahsante
 
Mwambie ajiunge bolt na uber, kupiga laki kwa siku ni kitu cha kawaida sana.
 
Mwambie ajiunge bolt na uber, kupiga laki kwa siku ni kitu cha kawaida sana.
Mbona nasikia huko kwenye uber na bolt malipo ni makubwa? Inakuaje hapo ukizingatia mafuta yapo juu! Fafanua boss
 
Back
Top Bottom