Wazoefu wa biashara ya boda boda na bajaji, njoo mtujuze changamoto mnazokumbana nazo

Hakuna biashara inayokosa changamoto, serikali yenyewe inakusanya kodi tu kwa wafanyabiashara lkn changamoto zipo. Wewe kama umeona kuna fursa hiyo piga kazi, usisikilize mawazo ya watu walioshindwa, watu tunaishi, tumejenga tunasomesha kwa pikipiki. Ila nivema ziwe za mikataba ya mwaka 1 na jitaidi uziongeze zifikie 10 na kuendelea utaona mambo yanaenda
 
Biashara kweli haina changamoto cha msingi ni kutafuta namna ya kuweza kupunguza changamoto hizo.

Naamini nitafanikiwa kupunguza kwa asilimia kadhaa na sio zote[emoji120]
 
Umeongea ukweli kaka.
 
Safi kabisa umemaliza
 
Umeongea ukweli kaka.
Kila biashara ina changamoto zake lkn kabla fanya Research hasara haikosekani na faida haikosekani muhimu upate madereva wazuri na ukiweza usitoe mkataba ukitoa mkataba kila kitu juu yake haitengenezi anaua injini mwisho wa siku anaua chombo na mkatab hamalizi mm nakwambia ivo nilipita apa apa sasa ivi nna pikipiki zaidi ya 10 na bajaj kadhaa nna uzoefu mzuri tu.
 
Wakuu naomba mnijuze bei ya Boxer (pkpk) kwa Dar mana Mbeya wanauza 2,550,000 tena hiyo nibei yahizi Boxer zakawaida nasio zile Boxer Dume zile bei yake imepaa zaid
 
Jambo si kutishana ila tunaelezea uhalisia wake.. Biashara hii inalipa endapo ukipata kijana mzuri na mwenye kujali chombo
Mimi mwenyewe niliingiza 7m ila kilichotokea sina hamu
kumbe bora mm jmn pole lkn
 
Umenena vyema kabisa. Laki 8 faida kutoka 2.2mil ni kama 3% tu kwa mwezi. Heri hata ukaange mihogo stand aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
 
Ila unasahau kuwa service na matengezo mengine ni juu yako .....ukute Huna knowledge yeyote ..huko gereji utapigwa hela mpaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka sana aisee,hapo kwenye service
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…