Wazoefu wa Bima ya Magari: Je, ukinunua online sticker unafata wapi?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau..

Gari limeisha bima leo na niko bush hakuna ofisi za kampuni za bima.. nataka ninunue online kwa sim banking..

Ila najiuliza sticker naipataje? Maana kesho narudi mjini sitaki usumbufu wa traffic njiani
 
Man siku hizi no sticker, unalipia tu taarifa zinaenda LATRA direct.
 
Habari wadau..

Gari limeisha bima leo na niko bush hakuna ofisi za kampuni za bima.. nataka ninunue online kwa sim banking..

Ila najiuliza sticker naipataje? Maana kesho narudi mjini sitaki usumbufu wa traffic njiani
New system haina sticker.
 
Back
Top Bottom