wazoefu wa kukwea pipa

Usisahau koti zito kwani ulaya kwa kipindi hiki ni baridi japokuwa inaanza kupungua, baridi ya ulaya ni nyepesi na kali sana kuliko hii ya kwetu makambako. Koti uwe nalo mwenyewe wakati wote na usiweke kwenye bag kubwa kwa kuwa utashindwa kulitoa. Na ndani ya ndege pia huwa kunabaridi usiku.
 
Kongosho umenimaliza kwa kicheko. Umenikumbusha rafiki yangu aliyeenda KFC akasema anataka Chicken thigh. Mhudumu alibaka hana mbavu.
 
Unataka kupita Amsterdam tu airport au u have things to do there? Sina uhakika kama ukiwa na visa ya ufaransa waweza ingia nchi zote za playa etc ila Ulizia, ila kama ni kupita tu then u don't need visa.

kata tiketi ya KLM utapita Amsterdam transit
 

umenikumbusha kitu,nimecheka sana,nadhani siku yangu itakua nzuri sana,nimecheka asubuhi.
 
khahahahaaaaaaaaahhhhhhaaaaa................!
kongoshoooooooo............................!
we kama mimi bwna, nikienda migahawani/hotelini hua nakereka sana.
walitu wa kawaida unapewa jina la ajaaabu! me huwaamba wantafsirie kwa luga rahisi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…