Wazoefu wa kununua bidhaa Kikuu app nahisi kuyumbishwa

Wazoefu wa kununua bidhaa Kikuu app nahisi kuyumbishwa

mkandu

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
336
Reaction score
463
Nimefanya manunuzi ya simu NOKIA mwezi mmoja uliopita na taarifa ikaja kama IN TRANSIT na ikajiandika namba moja kwenye andishi kwa maana ya idadi ya order niliyoifanya ila baada kama ya wiki mbili nikafanya Manunuzi ya simu nyingine SONY ile namba ya order ya mwanzo ikahama na kuhamia kipengele cha pili nacho ni PENDING FEED BACK ikawa order ya mwanzo iko kwenye Pending na ya pili ikawa iko In transit.

Baada ya kama wiki mbili hivi leo nimeshangaa ile namba ilokawepo kwenye andishi la Pending imejitowa na imebaki moja tu ya order ya pili iliyopo kwenye IN TRANSIT na kilichonishtua zaidi chini yake pameandikwa BUY AGAIN nimewapigia kwenye namba yao majibu yao hayakujitosheleza kwa kuwa anadai niwasiliane na kipengele cha Chat Live na huko kila nikijaribu sioni chochote zaidi ya maelezo tu ya kuitumia hii App.

MWENYE UFAHAMU TAFADHARI ANIONGOZE
Screenshot_20210107-100542.jpg
_20210107_101053.JPG
 
Nahisi unaweza kuwa kilaza kwenye hizi issue za e-commerce
 
BUY AGAIN! Ni mwendawazimu peke yake ndiye anaweza kununua kitu kikuu.Ogopa sana rangi nyeusi.Usifikiri wazungu ni mafala kuibagua rangi nyeusi!
Duh hadi najihisi kutapeliwa na jamaa kwenye simu hawapatikani kabisa
 
Naambiwa bado uko China mkuu.
Endelea kuwasumbua, mi ningewapigia kila baada ya nusu saaa na hao wa kwenye chat. As long as umeshalipia unatakiwa upate mzigo wako au hela yako, USIWAACHIE
 
Endelea kuwasumbua, mi ningewapigia kila baada ya nusu saaa na hao wa kwenye chat. As long as umeshalipia unatakiwa upate mzigo wako au hela yako, USIWAACHIE
Nitajitahidi Chief
 
pole ushapigwa, achana na ujinga wa kikuu, amia Aliexpress
 
Back
Top Bottom