Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,323
Ndo madhara ya kupenda vya bei cheeDuh hadi najihisi kutapeliwa na jamaa kwenye simu hawapatikani kabisa
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo madhara ya kupenda vya bei cheeDuh hadi najihisi kutapeliwa na jamaa kwenye simu hawapatikani kabisa
Sasa kama upo china kua mpole...
Alafu achana na kikuu...hamia AliExpres
Mrejesho?Nimefanya manunuzi ya simu NOKIA mwezi mmoja uliopita na taarifa ikaja kama IN TRANSIT na ikajiandika namba moja kwenye andishi kwa maana ya idadi ya order niliyoifanya ila baada kama ya wiki mbili nikafanya Manunuzi ya simu nyingine SONY ile namba ya order ya mwanzo ikahama na kuhamia kipengele cha pili nacho ni PENDING FEED BACK ikawa order ya mwanzo iko kwenye Pending na ya pili ikawa iko In transit.
Baada ya kama wiki mbili hivi leo nimeshangaa ile namba ilokawepo kwenye andishi la Pending imejitowa na imebaki moja tu ya order ya pili iliyopo kwenye IN TRANSIT na kilichonishtua zaidi chini yake pameandikwa BUY AGAIN nimewapigia kwenye namba yao majibu yao hayakujitosheleza kwa kuwa anadai niwasiliane na kipengele cha Chat Live na huko kila nikijaribu sioni chochote zaidi ya maelezo tu ya kuitumia hii App.
MWENYE UFAHAMU TAFADHARI ANIONGOZEView attachment 1670739View attachment 1670740