Wazoefu Wa Magari; Kuna Usalama kweli hapa?

Wazoefu Wa Magari; Kuna Usalama kweli hapa?

Hiyo gari haija start,funguo zinaonyesha ipo on.Hivyo ni kawaida,ikiwashwa hizo taa zitazima
Imewashwa na engine imeshaanza kuzunguka hauoni mshale wa RPM umepanda pale......
 
hio gari ipo ON haijawashwa ndio maana hizo taa zimewaka... LAKINI HATA HIVYO KUNUNUA TOYOTA WISH kwasasa ni sawa na kununua screpa, zimepitwa na wakat zina muonekano mbaya zinalegea haraka n.k... mwambie aache ujinga gari nzuri zipo nyingi tu tena kwa bei nzuri...
Imewashwa na engine ipo on. Tazama mshale wa RPM upo juu ina maana Engine inazunguka.
 
Back
Top Bottom