jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Habari wakuu,wale wataalamu wa magari naomba ushairi wenu,nafikiria kununua Nissan Murano,ila sijazifahamu kwa undani wake hizi gari,
.Ni ipi engine nzuri katika aina tofauti zilizopo.
.Je zipo 4WD
.Naona kuna 4 na 6 cylinders vipi utumiaji wake wa mafuta,hasa 6?
.Nini hasa tatizo sugu za hizi gari?
.Vipi durability yake?
Bei zina range kiasi gani kwa kuagiza Japan kulinganisha na bei za showroom dar?
Wajuzi wa magari msaada tafadhali.