Wazoefu wa Nissan Murano tusaidiane hapa

Ningependa kufahamu Zaidi kuhusu Nissan Juke na BMW Mini Cooper
Thanks
 
Mkuu Nissan Juke usijaribu....utalia peke yako. Mini Cooper it's ok. Nilimnunulia wife halikusumbua kabisa Kaka....lipo vema na BMW hawakosei Kaka
 
Thanks Mkuu,
Nmeiotea sehemu Mini Cooper ya 2010 66,000km cc 1590 jamaa anataka 10m kitu Kiko Bandarini
 
Acha uvivu, kama umeweza kuingia JF huwezi shindwa angalia mtandaoni kupata taarifa za hilo gari. Jiongeze
Yan wabongo tuna matatizo sana! Mtandao gani sasa unaomaanisha? Jf sio mtandao? Hv unafikiri nini maana ya kuwa na jamiiforums?
Hapa ndio sehemu ambayo watu wanaweza kushare uzoefu kwa karibu zaidi, kwani unaweza kukutana na mmiliki halisi wa gari husika aliyelitumia kwa muda fulani na kukabiliana na changamoto zake hasa ktk mazingira halisi tuliyopo.
Unataka upate specification ya gari kutoka kwa mtu aliyepo kwenye mazingira tofauti na tz wakati tunatofautiana vitu vingi kuanzia hali ya hewa, upatikanaji wa spare, maintanance and another services?
 
Nikweli mkuu,nimegundua jamaa anaishi maisha ya hasira na chuki,ni wakumsamee bure mkuu.
 
Wengi wao wanakalili kutoka kwa watu wasiojua magari au wamesimuliwa mm na Nissan Terrano number B liko mpka Leo na linadunda na engine haijashushwa ...!
 
Yan wabongo tuna matatizo sana! Mtandao gani sasa unaomaanisha? Jf sio mtandao? Hv unafikiri nini maana ya kuwa na jamiiforums?
Hapa ndio sehemu ambayo watu wanaweza kushare uzoefu kwa karibu zaidi, kwani unaweza kukutana na mmiliki halisi wa gari husika aliyelitumia kwa muda fulani na kukabiliana na changamoto zake hasa ktk mazingira halisi tuliyopo.
Unataka upate specification ya gari kutoka kwa mtu aliyepo kwenye mazingira tofauti na tz wakati tunatofautiana vitu vingi kuanzia hali ya hewa, upatikanaji wa spare, maintanance and another services?
Naona unafuga ujinga! Hizi gari kuu kuu tunazonunua wabongo toka Japan karibu zote hazikutengenezwa kwa ajili ya mazingira yetu labda kama wewe ulikuwa hujui ndio nikujuze sasa! Maswali mengine alouliza majibu mazuri atayapata kwa waliotangulia kuzitumia sio sisi wabongo tunatumia magari ya miaka 20 ilopita tunaita new model. Hapa atapata majibu ya kubabaisha tu.
 
Wengi wao wanakalili kutoka kwa watu wasiojua magari au wamesimuliwa mm na Nissan Terrano number B liko mpka Leo na linadunda na engine haijashushwa ...!
La mwaka gani mkuu?ni disel engine?
 
Naona unafuga ujinga! Hizi gari kuu kuu tunazonunua wabongo toka Japan karibu zote hazikutengenezwa kwa ajili ya mazingira yetu labda kama wewe ulikuwa hujui ndio nikujuze sasa! Maswali mengine alouliza majibu mazuri atayapata kwa waliotangulia kuzitumia sio sisi wabongo tunatumia magari ya miaka 20 ilopita tunaita new model. Hapa atapata majibu ya kubabaisha tu.
Nilichogundua ni kuwa umechagua kutokunielewa mkuu, ngoja niendelee kufuga ujinga.
 
Hata wewe hukuninielewa ndio maana ulikurupuka kujibu hoja zangu bila kuanalyze nilichokiandika. Happy Easter!
 
Speaa zake nigali alafu upatikanaji wake niadimu nisani sanasana ni kenya zimeja ikiaribu kitu kikubwa ukubaliane kwenda nairobi
 
Naona unafuga ujinga! Hizi gari kuu kuu tunazonunua wabongo toka Japan karibu zote hazikutengenezwa kwa ajili ya mazingira yetu labda kama wewe ulikuwa hujui ndio nikujuze sasa! Maswali mengine alouliza majibu mazuri atayapata kwa waliotangulia kuzitumia sio sisi wabongo tunatumia magari ya miaka 20 ilopita tunaita new model. Hapa atapata majibu ya kubabaisha tu.

Pamoja na hayo, imeshakuwa hivyo kuwa gari kuu kuu ndiyo size yetu!! Tunasaidianaje sasa sisi wenyewe kwa wenyewe??

Wenzetu wanatumia warrant, gari ikiisha muda wake wa warrant ndiyo wanatusukumizia huku!!

Ila pia wanatumia dealers wa kampuni husika kurekebisha gari na mara nyingi dealers wanang'oa part nzima na si kurekebisha!!

Sie baba tunaichokonoa hiyo part mpaka kitu kieleweke, dealer wa kampuni husika Katavi tunampata wapi kwa gari kuu kuu!!

Lakini kingine lugha, mwingine anaandika kiswahili kizuri ila lugha ya Kiingereza kuingia kwenye hizo forums na kuelewa huko tabu!!

Nadhani, ni vyema forums zetu za Kiswahili sasa tukazithamini kwa kutoa michango mizuri ya kujenga zinatusaidia sana.

Mfano hai!! Kuna jamaa yangu alikuwa na kagari kanatetema tu, nenda kwa mafundi tumia sensor na nini lakini waapi!!

Nilisoma mimi humu majadiliano ya kuondoa mitetemo kwenye gari, halikuwa hata tatizo la kupeleka gari gereji kubwa na mitetemo ikaisha kabisa!!

Tuyajenge ya kwetu sasa, maandishi yanaishi! kizazi kijacho watatuona wa namna gani kupitia maandishi haya!!
 
Back
Top Bottom